Taasisi ya Darul Iftaa ya Misri
TEHRAN (IQNA)- Taasisi ya Darul Iftaa ya Misri, ambayo hutoa muongozo wa Kiislamu nchini humo, imetangaza kuwa mchezo maarufu wa video wa ‘Blue Whale’ ni haramu katika Uislamu baada ya kubainika kuwa watu kadhaa walioucheza wameishia kujitoa uhai.
Habari ID: 3471458 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/04/08